BIASHARA AMBAZO AZIITAJI MTAJI MKUBWA BALI NI KUANZIA 0 MBAKA ELFU AMSINI TU NA UWEZE KUPATA MAFANIKIO MAKUBWA SANA
IZI NI BIASHARA AMBAZO AZIITAJI MTA
JI MKUBWA BALI NI KUANZIA 0 MBAKA ELFU AMSINI TU NA UWEZE KUPATA MAFANIKIO MAKUBWA SANA.
Izi ni biashara ambazo aziitaji mtaji mkubwa ili uweze kuzifanya Bali Zina itaji mtaji mdogo wa mbaka elfu amsini (50000/=) pia habari nzuri ni kwamba hatakama utakua una mtaji kabisa pia utaweza kufanya biashara izi na ukapata mafanikio makubwa Sana na ukaweza kujivunia pesa nyingi Sana kwa mda mfupi Sana biashara ya kwanzani.
1.UFUGAJI WA KUKU ZA KIENYEJI NA UUZAJI WA KUKU
Hii biashara unaweza kuanza na mtaji wa shilingi elfu kumi na tano na unaweza kununua kuku yako moja (tetea) na ukaanza kuifuga na baada ya mwezi mmoja kuku yako Ina weza ikawa imesha taga kwa mfano ika totoa vifaranga kumi na wewe vifaranga ivyo ukaviudumia vizuri baada ya miezi mitatu au mitano utakuja kuuza kuku moja kwa shilingi elfu kumi utajikuta umetengeneza faida ya shilingi laki moja na pointi
Au Kama ukipata mtaji wa shilingi elfu amsini na uka nunua kuku tano eneo wanaro uza kuku kwa Bei ndogo na ukaenda kuuza kuku izo eneo ambaro kuku Zina Bei mfano ulinunua kuku kwa shilingi elfu Tisa au elfu kumi na wewe ukaenda kuuza kuku izo kwa shilingi elfu kumi na tano utajikuta kwa kuku moja umetengeneza faida ya shilingi elfu tano kwa kuku mmoja na kwa kuku tano utajikuta unafaida ya elfu ishilini na tano .ndugu zangu biashara ihi inapesa nyingi sana Kama ukiwa serious kuifanya utapata mafanikio makubwa sana.
2.UDALALI WA NYUMBA
Ihi biashara aitaji mtaji wowote kuifanya Bali ni wewe nguvu zako kujitangaza kwa jamii na ikakujua . biashara ihi ipo ivi
Uyu no mtu ambaye anamtafutia mtu nyumba inaweza kua ni nyumba ya kupanga au ya kununua na jua kwa wale wanao kaa mijini ili neno (dalali) sio geni kwenu .kwamaana ihi yule mteja uliye mtafutia nyumba ya kupanga au ya kununua atabidi akulipe asilimia Fulani kutokana na kiwando wewe ambacho utakua umekiweka au yule mwenye biashara yake itabidi akulipe asilimia Fulani kwa kumpelekea mteja kwake hapo ndugu yangu utajikuta unatengeneza pesa nyingi kilaisi sana ni wewe tu kujitangaza soko lako mfano.
Unaweza bandika mabango sehemu mbalimbali na kujitangaza na kuachia mawasiliano yako na watu wakakutafuta wenye uitaji wa nyumba za kupanga au chochote kile .pia kunawele madalali wajanja unakuta dalali anachukua pesa Mara mbili yaani kwa mteja na kwa boss mfano ili aweze kukutafutia chumba au nyumba lazima umlipe elfu ishirini au zaidi na kwa boss anapewa asilimia Fulani mfano elfu kumi kwaiyo utajikuta upo mbali sana
3.KILIMO CHA MBOGA MBOGA NA BUSTANI.
Pia kwenye kilimo Cha mboga mboga na bustani nako huku kunapesa nyingi na mtaji wake ni mdogo mfano unaweza kuanza kilimo Cha mboga mboga ,maindi ya kumwagilia pale ambapo mvua zitakua zimekatika au ata zikiwa Zina nyesha,pia unaweza kulima maarage ivi vyote vinaitaji mtaji mdogo kuvifanya .turudi kwenye maada yetu
Mboga mboga ni kitu muimu katika maisha ya mwana damu kwaiyo wewe ukianza kuuza mboga mboga utaweza kupata wateja wengi sana kwasababu Ina wapenzi wengi kwa mfano ukaanza kupeleka mboga zako mjini au kwenye eneo ambalo limechangamka uta weza kujipatia wateja wengi sana kinacho itajika ni wewe kua msafi tu pia na mboga zako Zina takiwa kuwa katika hali ya usafi apo utaweza kupata wateja wengi pia unaweza kuanzisha kilimo Cha bustani mfano unakua unalima mboga mboga na kuwapa watu wakauze hapo unaweza kupata pesa nyingi sana kwa sababu biashara ihi watu wengi wanaizarau na kuiona aina faida lakini nikwambie ndugu yangu biashara ihi Ina faida sana na inaitaji mtaji mdogo sana kuifanya biashara ihi
5.BIASHARA YA MATUNDA:
Ihi biashara ya kuuza matunda Ina faida sana kwani unaweza kuuza matunda yako kwa kuyatembeza kwenye beseni au unaweza kutafuta sehemu ambayo imechanga mka na ukaanza kuuza matunda yako ukawa una ya menya matunda yako na kuyakatakata na kuwauzia watu mchanganyiko wa matunda kwa mfano ukawa una weka na ma papai ,para chichi,ndizi,ma nanasi,na ma tikiti maji, kulingana na mteja anaitaji mchanganyiko gani apo uta weza kupata pesa nyingi sana kwa sababu biashara ihi watu wengi wanaizarau na kuiona aina faida sana ila nikwambie ndugu yangu biashara ihi ukianza kuifanya utapata mafanikio makubwa sana
Vitu vya msingi vya kuzingatia unapo fanya biashara ihi ni usafi wa wewe mwenyewe ,viombo unavyo fanyia biashara na mahali unapo fanyia biashara akikisha ni pasafi .apo utaweza kupata faida kubwa sana kwani watu wengi awapengi uchafu kwaiyo akikisha upo msafi mda wote. Pia biashara ihi aitaji mtaji mkubwa ni pesa kidogo ili uweze kuanza biashara ihi na nakuakikishia utapata wateja wengi ivyo utaweza kuvuna pesa nyingi sana.
Kwa samale na taalifa zaidi tazama video ihi uweze kujifunza mengi pia usisahau ku subscribe katika channel yetu
Asante kwa kua nasi pia endelea kua nasi
Unaweza kutupata kwa kupitia namba
No: 0745448890
Pia achia comment yako
Comments
Post a Comment