Posts

Showing posts with the label MAFANIKIO

TABIA ZINAZO KUFANYA UWE MASKINI KATIKA MAISHA YAKO. Episode :1

Image
  TABIA ZINAZO KUFANYA UWE MASKINI KATIKA MAISHA YAKO.                 Katika suala Zuma lakufanikiwa au kutofanikiwa katika maisha inategemeana na tabia ambazo mtu ana kua akiziishi katika maisha yake .hivyo ukiona mtu amefanikiwa katika maisha yake basi ujue kuna tabia  ambazo mtu uyo mwenye mafanikio alikua akiziishi na zika mpelekea yeye kufanikiwa na ukiona mtu ambaye ajafanikiwa katika maisha yake basi ujue kuna tabia ambazo alikua akiziishi na zika mfanya yeye awe maskini  hivyo Na baada ya uchunguzi wa mda mrefu nimekuja ku baini tabia ambazo zina mfanya mtu awe maskini katika maisha yake na kama akiweza kuacha tabia izi basi ata weza kufanikiwa katika maisha yake na kuishi  maisha ya ndoto zake Kuna tabia nyingi ambazo zinaweza kumfanya mtu akawa maskini katika maisha yake  na leo ninge penda Ku share na wewe tabia (30) ambazo zina kufanya uwe maskini katika maisha yako na ukiweza kubadili tabia izi na Kuakikishai...

SHERIA ZA MAFANIKIO

  SHERIA ZA MAFANIKIO. Katika maisha yako unatakiwa kuzingatia vitu hivi MTIZAMO WAKO + MAAMUZI YAKO =MAISHA YAKO. YOUR ATTITUDE + YOUR CHOICES = YOUR LIFE    Watu wengi tunashindwa kufanikiwa katika maisha sababu ya haya mambo mawili ambayo ni mtizamo wako yaani wewe kama wewe unamtizamo gani kuhusu maisha yako watu wengi tuna mitizamo hasi(-) kuusiana na mafanikio tunajiona kama hatuwezi kufanikiwa katika dunia hii ukiwa na mtizamo hasi kuusiana na mafanikio mfano mtu anaamini kwamba atoweza kufanikiwa katika maisha yake na kweli mtu huyo at a afanyeje ato weza kufanikiwa katika maisha yake sababu ana mtizamo hasi (--) kuusiana na mafanikio hivyo kama unaitaji mafanikio katika maisha yako akikisha unakua na mtizamo chanya (+) kuusiana na mafanikio. Pia jambo lingine la pili ni maamuzi yako. unatakiwa kua na maamuzi sahihi kuusiana na mafanikio kwamba ili uweze kufanikiwa katika maisha yako ni lazima uchukue maamuzi sahihi mfano unamtizamo wa kuja kufanikiwa katika maish...

UYU NDIO SHUJAA KATIKA DUNIA HII

Image
 USHUJAA WA MTU YOYOTE YULE HUONEKANA  PALE AMBAPO. ___Ana feli lakini hakati tamaa na anaendelea kupambania malengo yako. ___Alazimishi mtu yoyote  yule ampende katika maisha yake yaweza kua ni rafiki yake,mpenzi wake,au mtu yoyote yule. ___Ajali pale watu wanapo mtukana na kumsema. ___Amchukii  mtu yoyote yule katika maisha yake na anakua na furaha mda wore. ___Ana mheshimu kila mtu . ___Ana wekeza zaidi. ___Anajifunza  zaidi.  ___Anamuonyesha mapenzi ya zati mtu anaye mpenda. ____Ana Fanya kitu ambacho ana kipenda . Uyo ndio shujaa na  uho ni ushujaa wa binadamu JE WEWE NI SHUJAA WA KIPI KATI YA VITU HIVI NILIVYO VITAJA

MAFANIKIO

Image
 Katika maisha epuka sana kufanya vitu ili uwafurahishe  watu   Fanya kitu ambacho  unakipenda kutoka moyoni mwako . Kwa sababu watu wengi wanashindwa kufanikiwa katika maisha yao kwa sababu ya kupenda kufanya vitu ili wawafurahishe watu wengine.   FAIDA ZA KUFANYA  KITU AMBACHO UNAKIFANYA. __Utakua na furaha  katika maisha yako sababu unafanya  kitu ambacho unakipenda  __utakifanya kwa ufanisi mkubwa sana . __utavumilia katika wakati mgumu utakao kua unapitia sababu unafanya kitu ambacho unakipenda. "Penda kitu ambacho  unakifanya"         NA "Fanya kitu ambacho unakipenda" Ili uweze kufanikiwa katika maisha yako   Kwa sababu ukifanya kitu ambacho wewe wenyewe unakipenda kutoka moyoni mwako itakua ni lahisi sana kwa wewe kufanikiwa katika maisha yako. Hivyo basi akikisha unafanya kitu ambacho wewe unakipenda kutoka moyoni mwako na itakua ni rahisi sana kwa wewe kufanikiwa katika maisha yako.

SIRI ZA MAFANIKIO Episode 4

Image
  -           SIRI ZA MAFANIKIO KATIKA MAISHA "Daima kumbuka kuwa wewe ni wa kipekee kabisa. Kama kila mtu mwingine."  -Margaret Mead 31. Mtandao wako ni thamani yako halisi   Fungua nguvu iliyofichwa ya unganisho kwa utajiri na uone tofauti katika maisha yako.  32. Usiwe na mawazo ya 'kutajirika haraka'  Kwa nini watu wengi wataanguka kwa ulaghai kama mpango wa uwekezaji wa dhahabu?  Kwa sababu wanataka kutajirika haraka lakini hawataki kuweka bidii kupata pesa.  Kumbuka hakuna kitu kinachoanguka kutoka mbinguni.  33. Elewa thamani ya wakati wa pesa  Ni juu ya kiasi unachotengeneza kwa saa ambacho ni muhimu zaidi kuliko kiasi unachotengeneza kwa jumla.  Kazi ya benki ya uwekezaji inaweza kuwa sio chaguo bora ulimwenguni, kwa sababu kwa kweli unauza roho yako kwa hiyo.  Wiki ya kazi ya saa 100 ni mwendawazimu, kwani hii inatafsiri hadi dola 15 kwa saa, sio ya kushangaza sana. 34. Maisha yanahusu mtazamo...

SUCCESS RULES

  Success Rules 31 to 40  "Always remember that you are absolutely unique. Just like everyone else." -Margaret Mead 31. Your network is your net worth   Unlock the hidden power of connections for wealth and you see the difference in your life.  32. Do not have the’ get rich quick’ mentality  Why most people will fall prey to scams like the gold investment scheme? Because they want to get rich quickly but not willing to put in the effort to make the money. Remember nothing falls from the sky.  33. Understand the time value of money  It’s about how much you make per hour that matters more than how much you make overall. An investment banking job may not be the best choice in the world, because you are essentially selling your soul for it. The 100-hour workweek is insane, as this merely translates to 15 dollars per hour, not exactly amazing. 34. Life is all about perspective  Is the cup half empty or half full? This simple question shows how you look...

SIRI ZA MAFANIKIO

Image
    SIRI YA MAFANIKIO KATIKA MAISHA 21. Maisha hayana haki kamwe   Ikiwa maisha ni ya haki, basi kila mtu ni milionea.  Ikiwa ndivyo ilivyo, basi jamii yetu itakuwa ile ya ujamaa, ambayo kama tunavyoijua, ilishindwa.  “Usiulize usawa katika maisha yako lakini badala yake uliza fursa.  "- Hubert Koh 22. Hujachelewa kuanza kujaribu.   Kuku wa kukaanga wa Kentucky (KFC) alipatikana na Kanali Sanders akiwa na umri wa miaka hamsini, lakini alikataliwa karibu mara 200 kabla ya mtu kuamua kukubali maoni yake.  Haijalishi una umri gani sasa, umri ni idadi tu.  Jambo muhimu tu ni kwamba ujaribu.  23. Usiogope   Kutakuwa na nyakati ambazo tutajiuliza kila wakati ikiwa tunafanya uamuzi sahihi au ikiwa mambo yatakuwa sawa.  Jibu ni kwamba hatujui kamwe.  Maisha hayana hakika, tunachohitajika kufanya ni kuwa wasio na hofu na kukabiliana na ukweli wetu bila majuto.  24. Usiwe na mawazo ya wikendi   Nimeona kuwa hakuna kitu kam...

MAMBO YA KUZINGATIA ILI UWEZE KUFANIKIWA KATIKA MAISHA YAKO

Image
 Katika suala zima la mafanikio katika maisha kunamambo ambayo mtu ana paswa kuyazingatia ili aweze kufanikiwa katika maisha yake na Leo ninge penda Ku share na wewe mambo ya msingi ya kuzingatia ili uweze kufanikiwa katika maisha yako        1.wekeza nguvu zako kubwa katika kujifunza mambo mapya kila siku : ili uweze kufanikiwa katika maisha unatakiwa kuwekeza nguvu zako kubwa katika kujifunza mambo mapya kila siku katika kitu icho ambacho unakifanya kwani kwa kufanya ivyo itakua ni rahisi sana kwa wewe kufanikiwa katika maisha yako hivyo jifunze kila siku            2.wekeza nguvu kubwa katika uwekezaji ; ili uweze kufanikiwa katika maisha yako unaitajika kuweka nguvu kubwa katika uwekezaji kwani kwa kufanya hivyo itakua ni rahisi sana kwa wewe kufanikiwa katika maisha yako na  ukijalibu kufanya utafiti utagundua watu wote wenye mafanikio ni watu ambao wanawekeza nguvu zao kubwa katika uwekezaji kwani kwa kufanya hivyo inakua...

RULES OF SUCCESS

Image
  SUCCESS RULES  :11 UP TO 20  Episode :2 "Your time is limited, so don't waste it living someone else's life. Don't be trapped by dogma – which is living with the results of other people's thinking." -Steve Jobs 11. Take action When is the right time to take action?NOW is the time to take action. No matter how motivated you are currently by the I have written, please apply these rules and start taking action. It is the difference that makes the difference. 12. Transforming your limiting beliefs Take time to figure out what is holding you back from achieving your dreams from time to time and work on transforming your limiting beliefs into positive thoughts. Do not let your limiting beliefs hold you back. 13. Delayed gratification We live in the world of instant gratification where we want to have the cake and yet eat it. Everything requires some passage of time and work for things to work out. Think of it as planting a seed, and waiting for the tree to be nurt...

RULES OF SUCCESS

Image
    RULES OF SUCCESS  EPISODE :1 "The greatest glory in living lies not in falling, but in rising every time we fall." -Nelson Mandela 1. Have a mind-set of an employer, not an employee  If you are wondering why you are not getting your promotions at work, it is most likely because you have an employee mindset. Think about it, if this was your business, will you put in more effort to work and come up with solutions to the products instead of asking your boss how I can solve this?  2. A job means ‘just over broke’  A job is not going to make you extremely wealthy if that is your ultimate goal in life. None of the top 100 richest people in the world is an employee. If you truly wanted financial success and get out of the rat race, the only way is to take larger risk and start up a company. Low risk = low rewards, high risk = high rewards  3. “You are the average of the fiver people you spend the most time with.” – Jim Rohn  If you want to be rich, h...

ILI UWEZE KUFANIKIWA YA KUPASA UFAHAMU JAMBO ILI

Image
      ILI UWEZE KUFANIKIWA YAKUPASA UFAHAMU ILI   Kila kitu katika maisha kinatokea kwa sababu  ivyo  kama mtu ni maskini  kuna sababu ambayo inamsababishia yeye awe maskini mfano apendi kujifunza mambo mapya kila siku  apendi ku wekeza zaidi n.k na kama kunamtu ni tajili basi ivyoivyo  kuna sababu ambayo inamsababishia yeye awe tajili mfano anawekeza zaidi ,au anatumia akili sana katika kufanya mambo yake  Ivyo jitaidi kutafuta sababu ambayo inakusababisha wewe kuishi ivyo maana kila kitu  kinatokea kwa sababu katika dunia hii  mfano wewe mwenyewe mwenyezi  mungu alikuumba  kwa sababu Fulani au uje kufanya jambo Fulani pia kila kitu ambacho unakiona kipo kwa sababu katika dunia hii              Hivyo jitahidi kutafuta sababu ambayo inakusababishia  wewe kuishi ivyo ili uweze kubadili maisha  yako

SIRI ZA MAFANIKO

Image
 SIRI ZA MAFANIKIO KATIKA MAISHA EPISODE :01               Kuna siri mbalimbali ambazo zime wafanya watu wenye mafanikio mfano ,jack ma ,jeff bezos,bill gates, na wengineo wengi waweze kufanikiwa katika maisha yao na Leo naenda Ku share na wewe siri za mafanikio katika maisha na kama ukizifuata siri hizi na hakika utaenda kubadilisha maisha yako na utaweza kufanikiwa                       1.Kua na malengo au ndoto : watu wote wenye mafanikio duniani wana malengo   ambayo yanawaongoza wenyewe nini cha kufanya katika dunia hii kwa sababu kuna mambo mengi duniani ya kufanya kwaiyo usipo kua na malengo ya nini ambacho unakiitaji itakua ni ngumu sana kwa wewe kufanikiwa kwa sababu utakua ujui mahali unapo enda  mfano mtu ambaye ajui mahali anapo enda kwaiyo mahali popote atakapo fika atajua amefika  Faida za kua na malengo       ____ malengo yana kusaidia  k...

SIRI YA MAFANIKIO

Image
    Baada ya kusoma kitabu cha  LAW OF MAKING MONEY   kilicho andikwa na BRIAN TRACY    hiki kitabu kinaelezea sheria za kutengeneza fedha au kupata fedha na katika sheria izo ni    PARKINSON'S LAW : watu wengi sana wanaitumia sheria hii pasipo wenyewe kujua na wengine wanaijua ila awajui kama ni kikwazo kikubwa sana cha mafanikio katika suala zima la fedha katika maisha yao  Hii sheria inasema kwamba pindi ambapo  kipato cha mtu kinaongezeka na matumizi ya mtu uyo yanaongezeka  Mfano mwalimu ambaye alikua analipwa  shilingi laki tatu na akaona fedha izo ni ndogo na anashindwa kutimiza malengo yake  kwa sababu fedha aliyo kua anaipata inaishia kwenye matumizi  hivyo akaamua kwenda kuongeza elimu ili aweze kupandishiwa mshahara na aweze kutimiza malengo yake na pindi alipo ongeza elimu na mshahara wake ukaongezeka  lakini akashangaa bado  fedha anayo ipata ina isha yote na anashindwa kutimiza malengo yak...

MAMBO YA MSINGI YA KUZINGATIA ILI UWEZE KUFANIKIWA KATIKA MAISHA YAKO

Image
    denismpinga99: EPISODE  : 2 MAMBO YA MSINGI YA KUZINGATIA ILI UWEZE KUFANIKIWA KATIKA MAISHA YAKO    AYa ni mambo ya kuzingatia ili uweze kupata mafanikio katika maisha yako   1. Akikisha  unajikita katika uwekezaji : ili uweze kufanikiwa katika maisha yako ndugu yangu akikisha kwamba unajikita sana katika uwekezaji  kwa sababu ukishindwa kuwekeza katika maisha yako ni vigumu sana kupata mafanikio  kwaiyo ndugu yangu ili uweze kufanikiwa katika maisha yako akikisha unajikita sana katika uwekezaji ikijitokeza fursa ya kuwekeza ndugu yangu akikisha  unawekeza yaweza kua katika biashara ,share yaani hisa za makampuni mbalimbali au fursa yoyote ile ambayo unaona kama ukienda kuwekeza  utaweza kupata mafanikio kwaiyo ili uweze kufanikiwa katika maisha yako akikisha unajikita sana katika uwekezaji. 2.Akikisha una tumia mda wako vizuri : Ukishindwa kutumia mda wako vizuri yaani time management katika maisha yako itakua ni vigumu s...