Posts

Showing posts with the label BIASHARA

MAMBO YA KUZINGATIA ILI UWE MFANYA BIASHARA MWENYE MAFANIKIO MAKUBWA

Image
  MAMBO YA KUZINGATIA ILI UWE MFANYA BIASHARA MWENYE MAFANIKIO MAKUBWA SANA  Aya ni mambo ya msingi ya  kuzingatia kama wewe ni mfanya biashara ili uweze kua ni mfanya biashara mwenye mafanikio makubwa sana katika maisha yako  akikisha unazingatia mambo aya .                1.mtangulize MUNGU  wako : Akikisha  unamtanguliza mungu katika kila jambo ambalo unalolifanya katika maisha yako maana yeye ndio muweza wa kilakitu katika maisha yetu hivyo kama unaitaji Siku moja kua mfanya biashara mwenye mafanikio makubwa sana akikisha unamuomba Mungu sana katika maisha yako maana yeye ndio kakupa pumzi bure na akikisha unamuomba kila siku aweze kukujalia afya bora katika maisha yako ya hapa duniani kwani bila yeye tusinge kuwepo  apa duniani hivyo ndugu yangu akikisha unamuomba kila siku mungu wako ambaye unamuamini katika maisha yako kama ni muislam,msabato,mroma  n.k Akikisha unamuomba kila siku mungu wako akubalik...

SHERIA ZA BIASHARA

Image
            SHERIA ZA BIASHARA        Kama kawaida kwa vitu vingine biashara nayo ina sharia zake ambazo zina muongoza mfanya biashara katika biashara take ili aweze kupata mafanikio makubwa sana hivyo izi sharia za biashara ni muhimu sana na wewe ukaenda kuzitumia katika biashara yako ili uweze kupata mafanikio makubwa sana.  Biashara ina sharia nne ambazo ambazo zina waongoza wafanya biashara wenye mafanikio katika biashara zao  na zime wapatia mafanikio makubwa sana ata wewe zita enda kukupatia mafanikio makubwa sana kama utazifuata vizuri na ukazitumia ipasavyo katika biashara yako                      1. Sheria ya kwanza (1): Tatua matatizo ya wateja wako Katika biashara ili uweze kufanikiwa akikisha una tatua matatizo ya wateja wako kwani Watu wote walio fanikiwa katika biashara ni Watu ambao wana tatua matatizo ya wateja wao au matatizo ya jamii  mfano binadamu ...

MAMBO YA KUZINGATIA ILI UWEZE KUPATA WATEJA WENGI KATIKA BIASHARA YAKO

Image
  MAMBO YA KUZINGATIA ILI UWEZE KUPATA WATEJA WENGI KATIKA BIASHARA YAKO. Mambo ya kuzingatia ili uweze kupata wateja wengi katika biashara yako          Aya ni mambo ya msingi  ya kuzingatia kama wewe  ni mfanya biashara ili uweze kupata wateja wengi katika biashara yako  NB: mteja katika biashara yoyote ile ni mfalme kwani bira yeye hakuna ambacho utakipata zaidi zaidi biashara yako ita kufa hivyo unatakiwa kuwa makini unavyo muudumia mteja ili uziweze kumpoteza uyo mteja na umfanya akawalete wateja wengi katika biashara yako akikisha unazingatia mambo aya ya msingi kama wewe ni mfanya biashara au una  ndoto Siku moja kua mfanya biashara akikisha unazingatia mambo aya            1.kua na lugha nzuri unavyo muudumia mteja: Akikisha sha unavyo muudumia mteja unatumia lugha nzuri sio lugha za matusi na kejeli kwani  kwa kufanya ivyo utasababisha  mteja uyo asije tena mahali unapo fanyia biashara aki...

JINSI YA KUPATA WATEJA WENGI KATIKA BIASHARA YAKO

Image
  JINSI YA KUPATA WATEJA WENGI KATIKA BIASHARA YAKO                       1.       Katika suala  zima la kupata wateja wengi katika biashara yako inategemeana na wewe mwenye ni kwajinsi gani una wa care wateja wako katika biashara yako  .pindi pale mteja anapo kuja katika biashara yako na kuitaji uduma yako .na Jambo limoja la msingi la kujua ni kwamba nyuma ya mteja mmoja Kuna wateja wengine kumi kwaiyo tunatakiwa kuwa makini tunapo waudumia wateja wetu  katika biashara zetu ivyo leo na kwenda ku share na wewe mbinu za kupata wateja wengi katika biashara yako na uweze kufanikiwa                    2. Kua mchangamfu katika biashara yako.Watu wengi sio wachangamfu katika biashara zao unakuta mtu kanuna alafu anafanya biashara apo utasababisha wateja wengi kuogopa kuja katika biashara yako na iyo kukosa  wateja .kwamaana mtu akiwa ana n...

BIASHARA AMBAZO AZIITAJI MTAJI MKUBWA BALI NI KUANZIA 0 MBAKA ELFU AMSINI TU NA UWEZE KUPATA MAFANIKIO MAKUBWA SANA

Image
  IZI NI BIASHARA AMBAZO AZIITAJI  MTA JI MKUBWA BALI NI KUANZIA 0 MBAKA ELFU AMSINI TU NA UWEZE KUPATA MAFANIKIO MAKUBWA SANA.  Izi ni biashara ambazo aziitaji mtaji mkubwa ili uweze kuzifanya Bali Zina itaji mtaji mdogo wa mbaka elfu amsini (50000/=)  pia habari nzuri ni kwamba hatakama utakua una mtaji kabisa pia utaweza kufanya biashara izi  na ukapata mafanikio makubwa Sana na ukaweza kujivunia pesa nyingi Sana kwa mda mfupi Sana biashara ya kwanzani. 1.UFUGAJI WA KUKU ZA KIENYEJI NA UUZAJI WA KUKU Hii biashara unaweza kuanza na mtaji wa shilingi elfu kumi na tano na unaweza kununua  kuku yako moja (tetea) na ukaanza kuifuga na baada ya mwezi mmoja kuku yako Ina weza ikawa imesha taga  kwa mfano ika totoa  vifaranga kumi na wewe vifaranga ivyo ukaviudumia vizuri baada ya miezi mitatu au mitano utakuja kuuza kuku  moja kwa shilingi elfu kumi utajikuta umetengeneza faida ya shilingi laki moja na pointi    Au Kama ukipata mtaji wa...