Posts

Showing posts with the label TIMIZA NDOTO ZAKO

MASWALI YA MSINGI YA KUJIULIZA KAMA UNAITAJI MAFANIKIO KATIKA MAISHA YAKO

Image
   MASWALI  YA MSINGI YA KUJIULIZA  KAMA UNAITAJI MAFANIKIO KATIKA MAISHA YAKO AKIKISHA UNAJIULIZA MASWALI HAYA          Katika maisha  ili uweze kufanikiwa  lazima ujiulize maswali haya ya msingi  pasipo kujiuliza maswali haya kufanikiwa itakuwa ni jambo gumu sana katika maisha yako .kwaiyo ndugu yangu akikisha unajiuliza maswali haya  kama unaita mafanikio  katika maisha yako   swali la kwanza    1. NINI UNAITAJI KATIKA MAISHA YAKO :  Ukishindwa kujua kitu gani  ambacho unakiitaji katika maisha yako itakua ni swala gumu sana kwa wewe kufanikiwa  kwa sababu utakua ujui mahali gani pa kwenda na kitugani unakiitaji katika maisha yako .kwaiyo ndugu yangu akikisha unatambua kitugani ambacho unakiitaji katika maisha yako  .mfano  unaitaji  kufungua biashara ,Ku msanii ,kua mfanya biashara mkubwa duniani   n.k akikisha  kwamba unatambua kitu gani  ambach...

IZI NI AINA MBILI ZA MAUMIVU ZINAZO WATESA WATU WENGI DUNIANI

Image
    IZI NI AINA  MBILI ZA MAUMIVU ZINAZO  WATESA WATU WENGI  DUNIANI Katika maisha yako maamuzi yako yako mikononi mwako wewe ndio unaweza kuamua atima yako na ya maisha yako. Aina ya kwanza ya maumivui 1.MAUMIVU YAKUTO  KAMILISHA JAMBO FULANI AU LENGO LAKO Au kwamaa na nyingine aya nimajuto. Nayana tokea pale mtu ulipo puuzia kufanya jambo Fulani katika maisha yako na aya maumivu umtesa mtu mbaka atakapo ondoka duniani  lakini kwa wakati  unafanya maamuzi ayo mtu ujiona mjanja lakini baada ya mda mtu uyo atajiona mpumbavu katika maisha yake yote  kwa sababu wakati wengine wanachumia juani kwa bidii na juudi zote yeye alikua akila bata au raha na na wakati wengine wanajinyima mbaka kulala ili tu watenge neze kesho zao yeye aliwaona ni wapumbavu  lakini ana kuja kujijua Kama alikua mpumbavu sana na wakati uho anakua kasha chelewa  2.MAUMIVU YAKU FANYA JAMBO FULANI AU KUTIMIZA JAMBO FULANI   Aya ni maumivu ambayo mtu ana yapata k...

IZI NI MBINU ZITAKAZO KUWEZESHA UWEZE KUTIMIZA MARENGO YAKO KWA HARAKA SANA KATIKA MAISHA YAKO

Image
  IZI NI MBINU ZITAKAZO KUWEZESHA UWEZE KUTIMIZA MARENGO YAKO KWA HARAKA SANA KATIKA MAISHA YAKO            1.MUOMBE MUNGU WAKO UNAYE MUAMINI; Ili uweze kutimiza ndoto zako kwa haraka sana katika maisha yako unatakiwa kumuomba mungu wako sana kwani  yeye ndiye anaye kupa pumzi na afya njema atakama ni mpagani apa unatakiwa kumuomba uyo mungu wako unaye muamini mfano kwawa Islam no Allah,na kwawa kilisto ni mungu  na majina mengine yanayo tumika. kwaiyo ndugu zangu kumbuka kumuomba mungu wako kwa maana yeye ni muweza wakila kitu katika maisha yako    2.AKIKISHA KWAMBA KILA SIKU UNAJIFUNZA KITU KIPYA KUUSIANA NA  IZO NDOTO ZAKO;    Akikisha  kwamba kila siku  unapata mda wa kujifunza kitu kipya kuusiana na izo ndoto zako  mfano unaweza jifunza kitukipya kwa kupitia    _kusoma vitabu mbalimbali mfano mtu ana ndoto ya kuwa mfanya biashara mkubwa  unatakiwa  kusoma kila siku vitabu vinavy...