IZI NI MBINU ZITAKAZO KUWEZESHA UWEZE KUTIMIZA MARENGO YAKO KWA HARAKA SANA KATIKA MAISHA YAKO

 





IZI NI MBINU ZITAKAZO KUWEZESHA UWEZE KUTIMIZA MARENGO YAKO KWA HARAKA SANA KATIKA MAISHA YAKO

     
     1.MUOMBE MUNGU WAKO UNAYE MUAMINI;

Ili uweze kutimiza ndoto zako kwa haraka sana katika maisha yako unatakiwa kumuomba mungu wako sana kwani  yeye ndiye anaye kupa pumzi na afya njema atakama ni mpagani apa unatakiwa kumuomba uyo mungu wako unaye muamini mfano kwawa Islam no Allah,na kwawa kilisto ni mungu  na majina mengine yanayo tumika. kwaiyo ndugu zangu kumbuka kumuomba mungu wako kwa maana yeye ni muweza wakila kitu katika maisha yako

   2.AKIKISHA KWAMBA KILA SIKU UNAJIFUNZA KITU KIPYA KUUSIANA NA  IZO NDOTO ZAKO;
   Akikisha  kwamba kila siku  unapata mda wa kujifunza kitu kipya kuusiana na izo ndoto zako  mfano unaweza jifunza kitukipya kwa kupitia 
  _kusoma vitabu mbalimbali mfano mtu ana ndoto ya kuwa mfanya biashara mkubwa  unatakiwa  kusoma kila siku vitabu vinavyo uhu ndoto yako au kupitia nakala  mbalimbali zinazo usu iyo ndoto yako.

 _kufanya mazoezi  mfano ndoto yako ni kuwa mwana mziki akikisha kwamba kila siku unafanya mazoezi ya kuimba iyo itakusaidia kujifunza mambo mapya kila siku.

_kujifunza kwa watu mbalimbali   waliofanikiwa mfano wewe unaitaji kuwa mjasilia Mali mkubwa duniani akikisha kila siku una jifunza kwa wajasilia Mali walio kuzidi yaani walio fanikiwa kuzidi wewe.
  

  3.JAMBO LINGINE AKIKISHA KWAMBA AUKATITAMAA ;

Apa ndio panapo wafelisha watu wengi katika maisha yao ngoja nikwambie kitu ndugu msomaji kwenye maisha ili ufanikiwe lazima Luna wakati utafeli na wewe ukikubali kufeli na kukata tamaa basi neno mafanikio sahau katika maisha yako  kwasababu ukikata tamaa maana yake una acha kufanya icho kitu unacho kifanya sasa na kuamini kwamba uwezi 
Lakini jua kwamba akuna kitu kinacho shindikana  chini ya jua  kama wewe ukiamini kama unaweza .
Kwaiyo usikate tamaa ndugu yangu
Apo utaweza kutimiza ndoto yako kwa haraka ukiwa aukatikati tamaa

  4.AZA NA ICHOICHO KIDOGO ULICHO NACHO;
Ngoja nikwambie kitu ndugu yangu katika maisha  ili ufanikiwe unatakiwa kuanza kidogo na kwaichoicho ulicho nacho kwani  ukiaza  na mtaji mkubwa sana iyo biashara yako haita dumu lazima itakuja kufa tu kwa sababu  iliuweze kufanikiwa lazima uaze kidogo ili upate ujuzi na maalifa zaidi katika iyo biashara yako au icho unacho kifanya  faida za kuanza kidogo na ichoicho ulicho nacho
 _unabata ujuzi  zaidi katika icho unacho kifanya .
_ni raisi kusimama tena pindi utakapo feli katika  icho unacho kifanya
_upunguza hasara  wote tunajua ilimtu ufanikiwe katika kitu chochote lazima Luna atua itafika ni lazima utafeli  kwaiyo pindi unapo feli ukiwa ulianza kwa kidogo itakuwa raisi wewe kusimama tena na kusonga mbele kwani unakua na akiba ya fedha au pesa nyingine uliwekeza katika eneo lingin APO utaweza kutimiza Marengo yako kwa haraka sana
  KWA TAARIFA ZAIDI TAZAMA VIDEO ILE AU IHI ILI UPATE TAARIFA ZAIDI



Usisahau Ku  SUBSCRIBE
    Asante 
Maneno haya yameandaliwa na 
   
NAME: DENIS JENSON MPINGA
NO      : 0745448890

 _ FOLLOW ME  BY USING THAT LINK  
ALL SOCIAL MEDIA

LINK

https://linkfly.to/307035FzeKk
   

ASANTE




Comments

Popular posts from this blog

SUCCESS RULES

UYU NDIO SHUJAA KATIKA DUNIA HII

RULES OF SUCCESS