UYU NDIO SHUJAA KATIKA DUNIA HII

 USHUJAA WA MTU YOYOTE YULE HUONEKANA  PALE AMBAPO.


___Ana feli lakini hakati tamaa na anaendelea kupambania malengo yako.

___Alazimishi mtu yoyote  yule ampende katika maisha yake yaweza kua ni rafiki yake,mpenzi wake,au mtu yoyote yule.

___Ajali pale watu wanapo mtukana na kumsema.

___Amchukii  mtu yoyote yule katika maisha yake na anakua na furaha mda wore.

___Ana mheshimu kila mtu .

___Ana wekeza zaidi.

___Anajifunza  zaidi.

 ___Anamuonyesha mapenzi ya zati mtu anaye mpenda.

____Ana Fanya kitu ambacho ana kipenda .


Uyo ndio shujaa na  uho ni ushujaa wa binadamu


JE WEWE NI SHUJAA WA KIPI KATI YA VITU HIVI NILIVYO VITAJA


Comments

Popular posts from this blog

MAMBO YA KUZINGATIA ILI UWE MFANYA BIASHARA MWENYE MAFANIKIO MAKUBWA

SHERIA ZA BIASHARA