IZI NI AINA MBILI ZA MAUMIVU ZINAZO WATESA WATU WENGI DUNIANI
IZI NI AINA MBILI ZA MAUMIVU ZINAZO WATESA WATU WENGI DUNIANI
Katika maisha yako maamuzi yako yako mikononi mwako wewe ndio unaweza kuamua atima yako na ya maisha yako.
Aina ya kwanza ya maumivui
1.MAUMIVU YAKUTO KAMILISHA JAMBO FULANI AU LENGO LAKO
Au kwamaa na nyingine aya nimajuto. Nayana tokea pale mtu ulipo puuzia kufanya jambo Fulani katika maisha yako na aya maumivu umtesa mtu mbaka atakapo ondoka duniani lakini kwa wakati unafanya maamuzi ayo mtu ujiona mjanja lakini baada ya mda mtu uyo atajiona mpumbavu katika maisha yake yote kwa sababu wakati wengine wanachumia juani kwa bidii na juudi zote yeye alikua akila bata au raha na na wakati wengine wanajinyima mbaka kulala ili tu watenge neze kesho zao yeye aliwaona ni wapumbavu lakini ana kuja kujijua Kama alikua mpumbavu sana na wakati uho anakua kasha chelewa
2.MAUMIVU YAKU FANYA JAMBO FULANI AU KUTIMIZA JAMBO FULANI
Aya ni maumivu ambayo mtu ana yapata kwamda pindi anapo kua anaitaji kukamilisha malengo yake kwa sababu ili aweze kutimiza malengo yake ni lazima atapitia kwenye wakati mgumu wakati Fulani na kuzaraulika, kuto eshimika,lakini aya maumivu aya dumu ni yamuda tu upo wakati utafika atasahau maumivu yote aliyo pitia katika maisha yake yote na ataishi kwa fulaha na amani miaka yote .kwasababu alipanda juani na aliumia sana,alizaraulika sana na kuonekana hana samani lakini mtu uyo atalia kivulini pasipo na makelele zarau ,masemango ,pia na kejeli
KWA TAALIFA ZAIDI TAZAMA VIDEO IHI USISAHAU KU SUBSCRIBE.
Ni Mimi
Name; Denis Jenson
No. ;0745448890
Asante
Comments
Post a Comment