MASWALI YA MSINGI YA KUJIULIZA KAMA UNAITAJI MAFANIKIO KATIKA MAISHA YAKO

  



MASWALI  YA MSINGI YA KUJIULIZA  KAMA UNAITAJI MAFANIKIO KATIKA MAISHA YAKO AKIKISHA UNAJIULIZA MASWALI HAYA

         Katika maisha  ili uweze kufanikiwa  lazima ujiulize maswali haya ya msingi  pasipo kujiuliza maswali haya kufanikiwa itakuwa ni jambo gumu sana katika maisha yako .kwaiyo ndugu yangu akikisha unajiuliza maswali haya  kama unaita mafanikio  katika maisha yako   swali la kwanza 

  1. NINI UNAITAJI KATIKA MAISHA YAKO : 

Ukishindwa kujua kitu gani  ambacho unakiitaji katika maisha yako itakua ni swala gumu sana kwa wewe kufanikiwa  kwa sababu utakua ujui mahali gani pa kwenda na kitugani unakiitaji katika maisha yako .kwaiyo ndugu yangu akikisha unatambua kitugani ambacho unakiitaji katika maisha yako  .mfano  unaitaji  kufungua biashara ,Ku msanii ,kua mfanya biashara mkubwa duniani   n.k akikisha  kwamba unatambua kitu gani  ambacho unakiitaji katika maisha yako 

FAIDA ZA KUJUA NINI AMBACHO UNAITAJI KATIKA MAISHAYAKO

__  Utaweza kujua kitu gani ambacho uanze kukifanyia kazi mfano  ukajua unaitaji kufungua biashara  kwaiyo apo itakua ni lahisi kwako kuanza juhudi za kuitaji  kutimiza hicho kitu unacho itaji katika maisha yako kwa sababu umesha kijua kitu ambacho unakiitaji katika maisha yako .kwaiyo ndugu yangu akikisha unajua ni nini unaitaji katika maisha yako kama bado ujajua kitugani ambacho unakiitaji katika maisha yako .basi chukua dakika tatu au zaidi kufikilia ni nini ambacho unakiitaji katika maisha yako  .ANZA SASA NA UNAWEZA KUFANYA HICHO   (START NOW AND YOU CAN DO IT)

       2.KWA WAKATI GANI  UTAFANYA:

Usipo weza kujua wakati gani sahihi wa wewe kufanya hicho unacho kiitaji katika maisha yako  kufanikiwa  itakua ni swala gumu sana  kwa sababu kila siku utasema naanza kesho  mbaka mwaka utaisha  pasipo wewe kutimiza  kitu ambacho unakiitaji katika maisha yako yaweza kua ni fungua biashara ,Ku jenga nyumba au kufanya kitu chochote katika maisha yako  akikisha kwamba unaweka   mda maalumu wa wewe kuanza kutimiza  malengo yako mfano naitaji kujenga nyumba mwaka huu mbaka mwezi wa sita  au naitaji kufungua biashara mwezi uhu ukiweza kutambua wakati sahihi wa wewe kufanya icho unacho itaji . akikisha una weka wakati sahihi wa wewe kuanza kutimiza malengo yako .akikisha  kuanzia sasa unajiuliza ni wakati gani  utaanza kutimiza malengo yako. ANZA SASA NA UNAWEZA KUFANYA  HICHO. ( START NOW  AND YOU CAN DO IT)

         

               3.WAPI   UTAFANYA ;

Kuna baazi ya malengo katika maisha yetu  tunayo yaweka  yana kua aya sapoti  ani na mazingira yetu tunayo ishi mfano mtu anaishi Dar es salaam  mbezi na ana malengo  ya kua mkulima mkubwa sana Tanzania na duniani kote  lakini ukiangalia mazingira  aliyopo aya sapoti kwa yeye kufanya hicho na kutimiza malengo yake  kwa sababu Dar es salaam  mbazi akuna  mashamba kwaiyo apo ni lazima ujiulize ni wapi utakapo weza kufanya hicho kitu unacho kiitaji katika maisha yako inaweza kua eneo lolote lile uliopo lakini ukawa unaitaji kufanya jambo Fulani  lakini mazingira  yasi sapoti .apo itakubidi ujiuliza wapi utafanya hicho kitu unacho kiitaji katika maisha yako. ANZA SASA UNAWEZA  KUFANYA HICHO (START NOW YOU CAN DO IT )

  Mafunzo yata endelea katika episode two


           MUANDA AJI NI : DENIS  JENSON

           PHONE NUMBER : 0745448890

                    YOU TUBE    : Denis Jenson

                   INSTAGRAM: denisjenson01


TAZAMA VIDEO HII YAPO CHINI  KWA  TAALIFA ZAIDI NA MAFUNZO ZAIDI

 USISAHAU KU  SUBSCRIBE  ,KU LIKE ,KU SHARE KWA WATU WENGINE ILI NA WENYEWE  WAPATE KUJIFUNZA ZAIDI PIA

 USISAHAU KU COMMENT  KATIKA CHANNEL YETU  YA Denis Jenson wa


 BESUCCESSFUL IN YOUR LIFE

Tazama video hii




Comments

Popular posts from this blog

SUCCESS RULES

UYU NDIO SHUJAA KATIKA DUNIA HII

RULES OF SUCCESS