SHERIA ZA BIASHARA

            SHERIA ZA BIASHARA

       Kama kawaida kwa vitu vingine biashara nayo ina sharia zake ambazo zina muongoza mfanya biashara katika biashara take ili aweze kupata mafanikio makubwa sana hivyo izi sharia za biashara ni muhimu sana na wewe ukaenda kuzitumia katika biashara yako ili uweze kupata mafanikio makubwa sana.  Biashara ina sharia nne ambazo ambazo zina waongoza wafanya biashara wenye mafanikio katika biashara zao  na zime wapatia mafanikio makubwa sana ata wewe zita enda kukupatia mafanikio makubwa sana kama utazifuata vizuri na ukazitumia ipasavyo katika biashara yako

                     1. Sheria ya kwanza (1): Tatua matatizo ya wateja wako

Katika biashara ili uweze kufanikiwa akikisha una tatua matatizo ya wateja wako kwani Watu wote walio fanikiwa katika biashara ni Watu ambao wana tatua matatizo ya wateja wao au matatizo ya jamii  mfano binadamu alipo kua anatembea peku mtu akaona ilo ni tatizo akalitatua kwa kutuletea viatu  pia mtu alipo ona binadamu ana lala giza akaona ilo ni tatizo akatuletea taa ambazo mbaka leo Mimi na wewe tunazitumia ivyoivyo katika biashara akikisha una tatua matatizo ya wateja wako na jamii inayo kuzunguka apo utaweza kufanikiwa katika biashara yako mfano katika jamii unayo ishi uduma Fulani aipatikani wewe ukaaza kutoa iyo uduma  apo uta jikuta unafanikiwa katika biashara ambayo unaifanya na utaweza kupata wateja wengi sana pia siyo ivyo tu unaweza kutatua tatizo lolote lile kunamsemo unasema " Avery problem is opportunity " kwamba kila tatizo  katika jamii yetu ni fursa 

Tatua matatizo ya wateja wako na matatizo ya jamii uliyopo kwani ni ufunguo wa mafanikio katika biashara yako


                2. Sheria ya pili katika biashara :ongeza eneo la utoaji wa huduma zako

Ili uweze kufanikiwa katika biashara in lazima uongeze eneo la utoaji wa huduma zako au tanua uwigo wa huduma zako apo uta weza kufanikiwa  kwa viwango vikubwa sana  mfano unaishi mbeya au sehemu yoyote ile ambayo upo na unajishugulisha na biashara Fulani  mfano unauza duka   unaweza kwenda kuanzisha duka lingine katika eneo lingine maana yake apo utakua umetanua uwigo wa biashara yako au umeongeza eneo ya biashara yako na hapo itakua ni lahisi kwa wewe kupata wateja wengi na biashara yako kufahamika  zaidi  .akikisha unaongeza  eneo la utoaji wa huduma au unatanua uwigo wa biashara yako ili uweze kufanikiwa kwa viwango vikubwa sana katika biashara yako





       3.kua na usimamizi mzuri wa biashara yako na  mfumo mzuri wa usambazaji wa bidhaa zako :

Akikisha unakua na usimamizi mzuri wa fedha zako ,biashara yako na mfumo mzuri wa usambazaji wa bizaa zako .pasipo kua na usimamizi mzuri wa fedha zako na biashara yako kitu kitakacho tokea biashara yako ita kufa na pasipo kua na mfumo mzuri wa usambazaji wa bidhaa zako kitu kitakacho tokea utapoteza wateja wengi katika biashara yako .mfano ulisha Tanis eneo la utoaji wa huduma zako lakini ukawa na usimamizi m baya wa fedha zako na biashara  yako apo  kitu kitakacho tokea biashara yako ita kufa hivyo jitaidi kua na usimamizi mzuri wa fedha zako na biashara yako pamoja na mfumo mzuri wa usambazaji wa bidhaa zako

 

     4.shika soko :

Ihi ni sheria ya nne ya biashara akikisha kwamba unashika soko kiasi kwamba mtu yoyote akiitaji bidhaa   au uduma Fulani wewe uwe mtu wa kwanza  yeye kuku fikilia  unawezaje kushika soko?

 Jambo la kwanza ni kwa kuongeza eneo la utoaji wa biashara yako ,kutoa uduma zenye ubora au kama ni bidhaa akikisha bidhaa zako zinakua na ubora na pia kutangaza biashara yako na kutoa uduma zenye ubora apo utaweza kushika soko na kupata wateja wengi katika biashara yako  hivyo ili uweze kufanikiwa katika biashara yako kwa viwango vikubwa sana akikisha unashika soko hapo utaweza kufanikiwa kwa viwango vikubwa sana katika biashara yako.



Comments

Popular posts from this blog

MAMBO YA KUZINGATIA ILI UWE MFANYA BIASHARA MWENYE MAFANIKIO MAKUBWA