MAMBO YA KUZINGATIA ILI UWEZE KUPATA WATEJA WENGI KATIKA BIASHARA YAKO
MAMBO YA KUZINGATIA ILI UWEZE KUPATA WATEJA WENGI KATIKA BIASHARA YAKO.
Mambo ya kuzingatia ili uweze kupata wateja wengi katika biashara yako
Aya ni mambo ya msingi ya kuzingatia kama wewe ni mfanya biashara ili uweze kupata wateja wengi katika biashara yako
NB: mteja katika biashara yoyote ile ni mfalme kwani bira yeye hakuna ambacho utakipata zaidi zaidi biashara yako ita kufa hivyo unatakiwa kuwa makini unavyo muudumia mteja ili uziweze kumpoteza uyo mteja na umfanya akawalete wateja wengi katika biashara yako akikisha unazingatia mambo aya ya msingi kama wewe ni mfanya biashara au una ndoto Siku moja kua mfanya biashara akikisha unazingatia mambo aya
1.kua na lugha nzuri unavyo muudumia mteja:
Akikisha sha unavyo muudumia mteja unatumia lugha nzuri sio lugha za matusi na kejeli kwani kwa kufanya ivyo utasababisha mteja uyo asije tena mahali unapo fanyia biashara akikisha unatumia lugha nzuri isiyo na matusi kejeli majivuno na lugha isiyo na ukali kwani kwa kufanya ivyo utaweza kupata wateja wengi katika biashara yako kwa sababu hakuna mteja ambaye ana penda kuzalauliwa pia akuna mtu yoyote yule anaye penda kutukanwa hivyo kama wewe ni mfanya biashara akikisha unatumia lugha nzuri kwa wateja wako.
2.Wasikilize wateja wako:
Kama wewe ni mfanya biashara akikisha una wasikiliza wateja wako kitu ambacho wana itaji pia apa unaitajika kua makini sio kila kitu ambacho wata kwambia basi wewe usikiliza una takiwa upembue mfano wateja wako wanaitaji bidhaa Fulani na iyo bidhaa wewe labda ulikua una na mteja akaja kukushauli kwamba uweke bidhaa ivyo kwaiyo wewe mtoa huduma unatakiwa kuwasikiliza nini ambacho wanaitaji kama ni kizuri wewe Fanya .kwani kwa kufanya ivyo utaweza kupata wateja wengi katika biashara yako lakini usipo wasikiliza wateja wako utaweza kupoteza wateja katika biashara yako.
3.Usiitaji kupata faida kubwa kwa mda mfupi :
Kila binadamu ana tamani sana kupata mafanikio makubwa kwa mda mfupi lakini katika biashara kama unaitaji kupata wateja wengi akikisha auchukui faida kubwa sana katika bizaa zako au uduma ambayo unaitoa unatakiwa kua na bei rafiki kwa mteja bei ambayo aita muumiza mteja na wewe kwa kufanya ivyo utaweza kupata wateja wengi katika biashara yako lakini ukiitaji kupata faida kubwa kwa mda mfupi uta poteza wateja wengi akikisha una kua na bei ambayo ni lafiki kwa mteja na ambayo wewe haita kuumiza .
Ivi umesha wai kujiuliza kwanini maduka ya jumla yana wateja wengi sana?
Ipo ivi mtu yupo tayali kutembea umbali mrefu kwa sababu ya punguzo tu ya 300%
Akikisha una kua na bei rafiki kwa wateja wako.
.
Comments
Post a Comment