JINSI YA KUPATA WATEJA WENGI KATIKA BIASHARA YAKO


 


JINSI YA KUPATA WATEJA WENGI KATIKA BIASHARA YAKO 
                     1.       Katika suala  zima la kupata wateja wengi katika biashara yako inategemeana na wewe mwenye ni kwajinsi gani una wa care wateja wako katika biashara yako  .pindi pale mteja anapo kuja katika biashara yako na kuitaji uduma yako .na Jambo limoja la msingi la kujua ni kwamba nyuma ya mteja mmoja Kuna wateja wengine kumi kwaiyo tunatakiwa kuwa makini tunapo waudumia wateja wetu  katika biashara zetu ivyo leo na kwenda ku share na wewe mbinu za kupata wateja wengi katika biashara yako na uweze kufanikiwa 

                  2. Kua mchangamfu katika biashara yako.Watu wengi sio wachangamfu katika biashara zao unakuta mtu kanuna alafu anafanya biashara apo utasababisha wateja wengi kuogopa kuja katika biashara yako na iyo kukosa  wateja .kwamaana mtu akiwa ana nuna pindi anapo fanya biashara  iyo itasababisha watu wengi kuogopa kuja katika biashara yako ili waweze kupata uduma kwaiyo  tujitaidi kuwa watu wachangamfu katika biashara zetu ili tuweze kupata wateja wengi katika biashara zetu.

                 3. pia  unapo fanya biashara yako jitaidi kuwa na kauli nzuri pindi unapo muudumia mteja na pindi unapo ongea na mteja wako mfano usipende kuongea lugha chafu  na mteja au kumtukana mteja na kumkalipia iyo itasababisha wateja wengi kuogopa kuja katika biashara yako  .kwaiyo tujitaidi kuwa makini katika suala Zima la kauli katika biashara zetu  kwani tukiwa tunatumia kauli nzuri itasababisha wateja wengi kuja katika biashara zetu ivyo itatusaidia kupata wateja wengi katika biashara .

TAZAMA VIDEO IHI KWA TAARIFA ZAIDI.         PIA USISAHAU KU SUBSCRIBE ,KU LIKE ,NA KUKOMENTI 

       Episode :3


      JINSI YA KUPATA WATEJA WENGI KATIKA BIASHARA YAKO

EPISODE :1




EPISODE :2
JINSI YA KUPATA WATEJA WENGI KATIKA BIASHARA YAKO











INAENDEREA USISAHAU KU
SUBSCRIBE
ASANTE











Comments

Popular posts from this blog

SUCCESS RULES

UYU NDIO SHUJAA KATIKA DUNIA HII

RULES OF SUCCESS