MAMBO YA MSINGI YA KUZINGATIA ILI UWEZE KUFANIKIWA KATIKA MAISHA YAKO
denismpinga99: EPISODE : 2
MAMBO YA MSINGI YA KUZINGATIA ILI UWEZE KUFANIKIWA KATIKA MAISHA YAKO
AYa ni mambo ya kuzingatia ili uweze kupata mafanikio katika maisha yako
1. Akikisha unajikita katika uwekezaji :
ili uweze kufanikiwa katika maisha yako ndugu yangu akikisha kwamba unajikita sana katika uwekezaji kwa sababu ukishindwa kuwekeza katika maisha yako ni vigumu sana kupata mafanikio kwaiyo ndugu yangu ili uweze kufanikiwa katika maisha yako akikisha unajikita sana katika uwekezaji ikijitokeza fursa ya kuwekeza ndugu yangu akikisha unawekeza yaweza kua katika biashara ,share yaani hisa za makampuni mbalimbali au fursa yoyote ile ambayo unaona kama ukienda kuwekeza utaweza kupata mafanikio kwaiyo ili uweze kufanikiwa katika maisha yako akikisha unajikita sana katika uwekezaji.
2.Akikisha una tumia mda wako vizuri :
Ukishindwa kutumia mda wako vizuri yaani time management katika maisha yako itakua ni vigumu sana kupata mafanikio kwa sababu bila ya Ku plan mda wako vizuri na kujiwekea ratiba ya siku yako yaani akikisha unajua nini utakacho fanya kesho na kwa wakati gani ukishindwa kutambua hayo inakua ni vigumu sana kwa wewe kupata mafanikio kwani utajikuta siku yako imeisha pasipo wewe kufanya kitu chochote kwaiyo ndugu yangu akikisha una manage mda wako na pangilia ratiba yako
KWA TAALIFA ZAIDI NA MAMBO MENGINE YAKUZINGATIA TAZAMA VIDEO HII PIA AKIKISHA AHU SAHAU KU SUBSCRIBE ,KU LIKE,KU SHARE,NA KU COMMENT ASANTE
YouTube ; napatikana kama
Denis Jenson
Tazama video hii
Prepared by ;
DENIS JENSON
PHONE NO:
0745448890
EMAIL:
denismpinga99@gemail.com
Comments
Post a Comment