SHERIA ZA MAFANIKIO

 SHERIA ZA MAFANIKIO.

Katika maisha yako unatakiwa kuzingatia vitu hivi

MTIZAMO WAKO + MAAMUZI YAKO =MAISHA YAKO.


YOUR ATTITUDE + YOUR CHOICES = YOUR LIFE

   Watu wengi tunashindwa kufanikiwa katika maisha sababu ya haya mambo mawili ambayo ni mtizamo wako yaani wewe kama wewe unamtizamo gani kuhusu maisha yako watu wengi tuna mitizamo hasi(-) kuusiana na mafanikio tunajiona kama hatuwezi kufanikiwa katika dunia hii ukiwa na mtizamo hasi kuusiana na mafanikio mfano mtu anaamini kwamba atoweza kufanikiwa katika maisha yake na kweli mtu huyo at a afanyeje ato weza kufanikiwa katika maisha yake sababu ana mtizamo hasi (--) kuusiana na mafanikio hivyo kama unaitaji mafanikio katika maisha yako akikisha unakua na mtizamo chanya (+) kuusiana na mafanikio.


Pia jambo lingine la pili ni maamuzi yako. unatakiwa kua na maamuzi sahihi kuusiana na mafanikio kwamba ili uweze kufanikiwa katika maisha yako ni lazima uchukue maamuzi sahihi mfano unamtizamo wa kuja kufanikiwa katika maisha yako ni lazima uchukue maamuzi sahihi  ndipo uweze kufanikiwa katika maisha yako.

YOUR ATTITUDE +YOUR CHOICES=YOUR LIFE.


MTIZAMO  WAKO + NA MAAMUZI YAKO = MAISHA YAKO.

Comments

Popular posts from this blog

MAMBO YA KUZINGATIA ILI UWE MFANYA BIASHARA MWENYE MAFANIKIO MAKUBWA

SHERIA ZA BIASHARA