ILI UWEZE KUFANIKIWA YA KUPASA UFAHAMU JAMBO ILI

      ILI UWEZE KUFANIKIWA YAKUPASA UFAHAMU ILI

  Kila kitu katika maisha kinatokea kwa sababu  ivyo  kama mtu ni maskini  kuna sababu ambayo inamsababishia yeye awe maskini mfano apendi kujifunza mambo mapya kila siku  apendi ku wekeza zaidi n.k na kama kunamtu ni tajili basi ivyoivyo  kuna sababu ambayo inamsababishia yeye awe tajili mfano anawekeza zaidi ,au anatumia akili sana katika kufanya mambo yake 

Ivyo jitaidi kutafuta sababu ambayo inakusababisha wewe kuishi ivyo maana kila kitu  kinatokea kwa sababu katika dunia hii  mfano wewe mwenyewe mwenyezi  mungu alikuumba  kwa sababu Fulani au uje kufanya jambo Fulani pia kila kitu ambacho unakiona kipo kwa sababu katika dunia hii 

            Hivyo jitahidi kutafuta sababu ambayo inakusababishia  wewe kuishi ivyo ili uweze kubadili maisha  yako




Comments

Popular posts from this blog

MAMBO YA KUZINGATIA ILI UWE MFANYA BIASHARA MWENYE MAFANIKIO MAKUBWA

SHERIA ZA BIASHARA