MAFANIKIO
Katika maisha epuka sana kufanya vitu ili uwafurahishe watu Fanya kitu ambacho unakipenda kutoka moyoni mwako .
Kwa sababu watu wengi wanashindwa kufanikiwa katika maisha yao kwa sababu ya kupenda kufanya vitu ili wawafurahishe watu wengine.
FAIDA ZA KUFANYA KITU AMBACHO UNAKIFANYA.
__Utakua na furaha katika maisha yako sababu unafanya kitu ambacho unakipenda
__utakifanya kwa ufanisi mkubwa sana .
__utavumilia katika wakati mgumu utakao kua unapitia sababu unafanya kitu ambacho unakipenda.
"Penda kitu ambacho unakifanya"
NA
"Fanya kitu ambacho unakipenda"
Ili uweze kufanikiwa katika maisha yako
Kwa sababu ukifanya kitu ambacho wewe wenyewe unakipenda kutoka moyoni mwako itakua ni lahisi sana kwa wewe kufanikiwa katika maisha yako.
Hivyo basi akikisha unafanya kitu ambacho wewe unakipenda kutoka moyoni mwako na itakua ni rahisi sana kwa wewe kufanikiwa katika maisha yako.
Comments
Post a Comment