TOFAUTI ILIYOPO KATI YA LIABILITIES NA ASSET
UTOFAUTI ULIOPO KATI YA LIABILITIES NA ASSET
Watu wengi wamekua wakijichanganya sana katika kutofautisha vitu hivi viwili asset (Mali ) na liabilities .na ivyo hupele kea mtu kununua asset akizani ni liabilities na mtu kununua liabilities akizani kwamba ni asset .leo kitu ambacho ningependa Ku share na nyinyi ni kuusu utofauti uliopo kati ya asset na liabilities kwakiswahili
_____Asset: ni Mali
_____liabilities : ni madeni
Lakini kwa maana zake
Asset. ;
Ni kitu chochote ambacho ukikifanya katika maisha yako kina kuletea pesa mfukoni . yaani baada ya kukifanya hicho kitu kinakua kina kua kinakuingizia pesa mfukoni mfano biashara ,nyumba za kupangisha ,uwekezaji n.k na vitu vingine vyote unavyo viona kama ukivifanya vitakua vinakuingizia pesa na pasipo wewe kutoa pesa yako yaani inakua inajiendesha yenyewe mfano biashara ,kampuni, au nyumba wewe kazi yako inayo baki ni kusimamia .na ngoja kwanza nikwambie kitu Watu wote walio fanikiwa duniani wana nunua asset kwanza ndipo pesa inayo patikana kwenye asset iyo ndo anapeleka kununua liabilities inaweza ikawa gari ya kutembelea nakini bado ile asset aliyo kua amewekeza inaendelea kumuingizia pesa na inakua sio vigumu Ku rekedisha gari hiyo pindi inapo alibika,na Ku nunua mafuta pingi itakapo itaji mafuta kwaiyo ndungu yangu kama unandoto ya kufanikiwa akikisha ukipata pesa kwanza nenda ka nunua asset na iye asset ndiyo itanunua liabilities unayo iitaji.
NB : asset ni vitu vinavyo zalisha pesa zaidi baada ya kuvifanya au kuku ingizia pesa zaidi katika maisha yako baada ya kuvifanya .
Liabilities;
Ni kitu ambacho baada ya kukifanya kitaendelea kutoa pesa yako ya mfukoni mfano ume pata pesa au mshahara unakimbilia kununua gari ya kutembelea .hapo ndugu yangu utachelewa sana na unaweza usifanikiwe katika maisha yako kwa sababu gari ya kutembelea aizalishi pesa yoyote ile Bali inatoa pesa yako ya mfukoni maana ile gari itaitaji mafuta ,sevisi na mambo mengine apo kila siku utaitajika Ku nunua mafuta na sevisi na utakua ukitoa pesa yako yamfukoni lakini gari yenyewe aikuingizii kipato chochote .uho ndo utakua mwanzo wa umasikini maana badala ya kupunguza matatizo ya kiuchumi kwa ku nunua asset wewe utakua unaongeza umaskini kwa ku nunua liabilities maana yake ni kwamba pesa utakayo ipato yote itaishi kwenye liabilities mfano matengenezo ,mafuta hapo ndugu yangu utoweza kufanikiwa katika maisha yako .na iyo ndio tofauti mkubwa kati ya liabilities na asset.
Kwaiyo ndugu zangu tujifunze kuwekeza katika vitu vinavyo zalisha pesa zaidi na apo ndugu yangu ndo utakua tajili katika maisha yako yote kwaiyo akikisha unawekeza katika vitu vinavyo zalisha pesa zaidi sio vitu visivyo zalisha.
PREPARED BY : DENIS JENSON
YOUTUBE. : Denis Jenson
INSTAGRAM. : denisjenson01
FACEBOOK. : DENIS JENSON
KWA ELIMU ZAIDI KUHUSU LIABILITIES NA ASSET TAZAMA VIDEO HII YAPO CHINI USISAHAU KU SUBSCRIBE, KU LIKE, KU COMMENT, PIA KU SHARE .ASANTE
Comments
Post a Comment