MAMBO YA KUZINGATIA ILI UWE MFANYA BIASHARA MWENYE MAFANIKIO MAKUBWA
MAMBO YA KUZINGATIA ILI UWE MFANYA BIASHARA MWENYE MAFANIKIO MAKUBWA SANA Aya ni mambo ya msingi ya kuzingatia kama wewe ni mfanya biashara ili uweze kua ni mfanya biashara mwenye mafanikio makubwa sana katika maisha yako akikisha unazingatia mambo aya . 1.mtangulize MUNGU wako : Akikisha unamtanguliza mungu katika kila jambo ambalo unalolifanya katika maisha yako maana yeye ndio muweza wa kilakitu katika maisha yetu hivyo kama unaitaji Siku moja kua mfanya biashara mwenye mafanikio makubwa sana akikisha unamuomba Mungu sana katika maisha yako maana yeye ndio kakupa pumzi bure na akikisha unamuomba kila siku aweze kukujalia afya bora katika maisha yako ya hapa duniani kwani bila yeye tusinge kuwepo apa duniani hivyo ndugu yangu akikisha unamuomba kila siku mungu wako ambaye unamuamini katika maisha yako kama ni muislam,msabato,mroma n.k Akikisha unamuomba kila siku mungu wako akubaliki,akufanye usikate tamaa , n.k 2.penda sana kujifunza kila s
Comments
Post a Comment