UYU NDIO SHUJAA KATIKA DUNIA HII
USHUJAA WA MTU YOYOTE YULE HUONEKANA PALE AMBAPO. ___Ana feli lakini hakati tamaa na anaendelea kupambania malengo yako. ___Alazimishi mtu yoyote yule ampende katika maisha yake yaweza kua ni rafiki yake,mpenzi wake,au mtu yoyote yule. ___Ajali pale watu wanapo mtukana na kumsema. ___Amchukii mtu yoyote yule katika maisha yake na anakua na furaha mda wore. ___Ana mheshimu kila mtu . ___Ana wekeza zaidi. ___Anajifunza zaidi. ___Anamuonyesha mapenzi ya zati mtu anaye mpenda. ____Ana Fanya kitu ambacho ana kipenda . Uyo ndio shujaa na uho ni ushujaa wa binadamu JE WEWE NI SHUJAA WA KIPI KATI YA VITU HIVI NILIVYO VITAJA
Comments
Post a Comment