SIRI KUBWA YA MAFANIKIO
SIRI KUBWA YA MAFANIKIO KATIKA MAISHA .
Ili uweze kufanikiwa katika maisha yako akikisha unajikita katika uwekezaji wekeza zaidi ili uweze kufanikiwa katika maisha yako kwani pindi unapo wekeza ndio unajiweka katika nafasi kubwa sana ya kufanikiwa katika maisha yako kwa sababu pindi unapo wekeza ni kama unapanda mti hivyo kunasiku utaanza kukuletea matunda ndiomaa na kushauli uwekeze zaidi katika maisha yako ili uweze kufanikiwa zaidi katika maisha yako na ningependa sana kukushauri uwekeze katika maeneo mbalimbali ili uweze kufanikiwa zaidi katika maisha yako mfano Mo dewji amewekeza katika maeneo mbalimbali hivyo ndo imekua rahisi kwa yeye kupata mafanikio zaidi katika maisha yako.
FAIDA ZA KUWEKEZA MAENEO TOFAUTI TOFAUTI.
1.itakua ni ngumu sana kwa wewe kufilisika katika maisha yako kwa sababu pindi ambapo biashara moja itaenda vibaya biashara nyingine itaende vizuri .ndo maana na kushauri uwekeze zaidi katika maisha yako kwa kwa kufanya ivyo itakua ni rahisi sana kwa kufanikiwa katika maisha yako na kuto filisika .
2.Utaweza kufanikiwa kwa viwango vikubwa sana kwa sababu unakua na vyanzo vingi vya mapato ambavyo vinakuingizia kipata hivyo itakua ni rahisi sana kwa wewe kufanikiwa katika maisha yako sababu unavyanzo vingi vya mapato.
3.WARREN BUFFETT
Alisema
"Don't put all eggs in one basket"
Kiswahili
"Usiweke mayai yote kwenye trei moja"
Maana yake ni
Usiweke fedha zako zote katika eneo moja kwa sababu pingi ambapo biashara zitaenda vibaya utafilisika .
Hivyo ili uweze kuondokana na kufilisika katika maisha yako akikisha unawekeza sehemu tofauti tofauti katika maisha yako ili uweze kufanikiwa .sehemu
Wekeza zaidi ili uweze kufanikiwa zaidi katika maisha yako .
USISAHAU KU SUBSCRIBE KATIKA CHANNEL YETU
ASANTE
Comments
Post a Comment