MAMBO YA MSINGI YA KUZINGATIA ILI UWEZE KUFANIKIWA KATIKA MAISHA YAKO
denismpinga99: EPISODE : 2 MAMBO YA MSINGI YA KUZINGATIA ILI UWEZE KUFANIKIWA KATIKA MAISHA YAKO AYa ni mambo ya kuzingatia ili uweze kupata mafanikio katika maisha yako 1. Akikisha unajikita katika uwekezaji : ili uweze kufanikiwa katika maisha yako ndugu yangu akikisha kwamba unajikita sana katika uwekezaji kwa sababu ukishindwa kuwekeza katika maisha yako ni vigumu sana kupata mafanikio kwaiyo ndugu yangu ili uweze kufanikiwa katika maisha yako akikisha unajikita sana katika uwekezaji ikijitokeza fursa ya kuwekeza ndugu yangu akikisha unawekeza yaweza kua katika biashara ,share yaani hisa za makampuni mbalimbali au fursa yoyote ile ambayo unaona kama ukienda kuwekeza utaweza kupata mafanikio kwaiyo ili uweze kufanikiwa katika maisha yako akikisha unajikita sana katika uwekezaji. 2.Akikisha una tumia mda wako vizuri : Ukishindwa kutumia mda wako vizuri yaani time management katika maisha yako itakua ni vigumu s...
Comments
Post a Comment