TABIA ZINAZO KUFANYA UWE MASKINI KATIKA MAISHA YAKO. Episode :1
TABIA ZINAZO KUFANYA UWE MASKINI KATIKA MAISHA YAKO. Katika suala Zuma lakufanikiwa au kutofanikiwa katika maisha inategemeana na tabia ambazo mtu ana kua akiziishi katika maisha yake .hivyo ukiona mtu amefanikiwa katika maisha yake basi ujue kuna tabia ambazo mtu uyo mwenye mafanikio alikua akiziishi na zika mpelekea yeye kufanikiwa na ukiona mtu ambaye ajafanikiwa katika maisha yake basi ujue kuna tabia ambazo alikua akiziishi na zika mfanya yeye awe maskini hivyo Na baada ya uchunguzi wa mda mrefu nimekuja ku baini tabia ambazo zina mfanya mtu awe maskini katika maisha yake na kama akiweza kuacha tabia izi basi ata weza kufanikiwa katika maisha yake na kuishi maisha ya ndoto zake Kuna tabia nyingi ambazo zinaweza kumfanya mtu akawa maskini katika maisha yake na leo ninge penda Ku share na wewe tabia (30) ambazo zina kufanya uwe maskini katika maisha yako na ukiweza kubadili tabia izi na Kuakikishai utaweza kua mtu mwenye mafanikio katika maisha yako yote