Posts

TABIA ZINAZO KUFANYA UWE MASKINI KATIKA MAISHA YAKO. Episode :1

Image
  TABIA ZINAZO KUFANYA UWE MASKINI KATIKA MAISHA YAKO.                 Katika suala Zuma lakufanikiwa au kutofanikiwa katika maisha inategemeana na tabia ambazo mtu ana kua akiziishi katika maisha yake .hivyo ukiona mtu amefanikiwa katika maisha yake basi ujue kuna tabia  ambazo mtu uyo mwenye mafanikio alikua akiziishi na zika mpelekea yeye kufanikiwa na ukiona mtu ambaye ajafanikiwa katika maisha yake basi ujue kuna tabia ambazo alikua akiziishi na zika mfanya yeye awe maskini  hivyo Na baada ya uchunguzi wa mda mrefu nimekuja ku baini tabia ambazo zina mfanya mtu awe maskini katika maisha yake na kama akiweza kuacha tabia izi basi ata weza kufanikiwa katika maisha yake na kuishi  maisha ya ndoto zake Kuna tabia nyingi ambazo zinaweza kumfanya mtu akawa maskini katika maisha yake  na leo ninge penda Ku share na wewe tabia (30) ambazo zina kufanya uwe maskini katika maisha yako na ukiweza kubadili tabia izi na Kuakikishai utaweza kua mtu mwenye mafanikio katika maisha yako yote       

SIRI ZA MAFANIKIO

Image
 

SIRI KUBWA YA MAFANIKIO

Image
  SIRI KUBWA YA MAFANIKIO KATIKA MAISHA . Ili uweze kufanikiwa katika maisha yako akikisha unajikita katika uwekezaji wekeza zaidi ili uweze kufanikiwa katika maisha yako kwani pindi unapo wekeza ndio unajiweka katika nafasi kubwa sana ya kufanikiwa katika maisha yako kwa sababu pindi unapo wekeza ni kama unapanda mti hivyo kunasiku utaanza kukuletea matunda  ndiomaa na kushauli uwekeze zaidi katika maisha yako ili uweze kufanikiwa zaidi katika maisha yako na ningependa sana kukushauri uwekeze katika maeneo mbalimbali ili uweze kufanikiwa zaidi katika maisha yako mfano Mo dewji  amewekeza katika maeneo mbalimbali hivyo ndo imekua rahisi kwa yeye kupata mafanikio zaidi katika maisha yako. FAIDA ZA KUWEKEZA MAENEO TOFAUTI TOFAUTI. 1. itakua ni ngumu sana kwa wewe kufilisika katika maisha yako kwa sababu pindi ambapo biashara moja itaenda vibaya biashara nyingine itaende vizuri .ndo maana na kushauri  uwekeze zaidi katika maisha yako kwa kwa kufanya ivyo itakua ni  rahisi sana kwa kufanik

Mafanikio

Image
 

MAHUSIANO

Image
 

JINSI YA KUA NA FURAHA KATIKA MAISHA YAKO

Image
 

SHERIA ZA MAFANIKIO

  SHERIA ZA MAFANIKIO. Katika maisha yako unatakiwa kuzingatia vitu hivi MTIZAMO WAKO + MAAMUZI YAKO =MAISHA YAKO. YOUR ATTITUDE + YOUR CHOICES = YOUR LIFE    Watu wengi tunashindwa kufanikiwa katika maisha sababu ya haya mambo mawili ambayo ni mtizamo wako yaani wewe kama wewe unamtizamo gani kuhusu maisha yako watu wengi tuna mitizamo hasi(-) kuusiana na mafanikio tunajiona kama hatuwezi kufanikiwa katika dunia hii ukiwa na mtizamo hasi kuusiana na mafanikio mfano mtu anaamini kwamba atoweza kufanikiwa katika maisha yake na kweli mtu huyo at a afanyeje ato weza kufanikiwa katika maisha yake sababu ana mtizamo hasi (--) kuusiana na mafanikio hivyo kama unaitaji mafanikio katika maisha yako akikisha unakua na mtizamo chanya (+) kuusiana na mafanikio. Pia jambo lingine la pili ni maamuzi yako. unatakiwa kua na maamuzi sahihi kuusiana na mafanikio kwamba ili uweze kufanikiwa katika maisha yako ni lazima uchukue maamuzi sahihi mfano unamtizamo wa kuja kufanikiwa katika maisha yako ni lazi